Tulia na ufurahie kuwa katika mazingira yanayokufanya kujisikia uko nyumbani. Iwe umekuja likizo ya kifahari au safari ya muda mrefu ya biashara, vyumba hivi vitakupa hali halisi ya kupumzika. Chumba hicho kina bafu iliyo na vifaa vya kifahari.
Taarifa Muhimu
- Kuingia: 12:00 PM
- Kutoka: 10:00 AM
- Kifungua kinywa cha Bure
- Chakula chumbani
- Unaweza kuhama chumba kwa ombi
- Huduma ya chumbani inapatikana kwa ombi
50,000 TZS
Taarifa za Chumba
Kitanda kizuri
Air Condition
Vifaa vizuri vya bafuni
Usafi wa kila siku
Huduma ya kupiga simu
Televisheni
Kikausha Nywele kwa ombi
Sofa
Meza na kiti kizuri
Taarifa za Hoteli
Huduma Masaa 24
Sehemu za Mikutano
Maegesho ya Magari
Mkahawa & Baa
Mazingira safi na yaliyopangiliwa